![]() |
| Kikosi cha simba SC. |
Sasa vijana hao wa Patrick Phiri watakwea ndege kuja jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya mechi yao na Kagera Sugar.
Hivyo wachezaji wa Simba, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi watatua asubuhi jijini Dar kabla ya kazi hiyo maalum ya kukamatana na Kagera Sugar taifa.

0 comments:
Post a Comment