YANGA YAJIPOZA KWA PLATINUM IKISHINDA 5-0.
TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kuifunga timu ya Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-0, katika mchezo wa kwanza uliofanyika Dar es salaam leo...
TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kuifunga timu ya Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-0, katika mchezo wa kwanza uliofanyika Dar es salaam leo...
PRISONS Mara baada ya kumtimua kocha wao David Mwamwaja, Prisons imeanza kuonyesha cheche baada ya kuipiga Stand United kwa mabao 3-0. ...
TIMU ya Man City imepoteza mchezo baada ya kufungwa 1-0 na Burnley katika moja ya michezo katika EPL, BOYD ndiye aliyepeleka machun...
TIMU ya Arsenal FC imefanikiwa kuifunga West Ham United kwa mabao 3-0, katika mchezo uliofanyika jumamosi tarehe 14/3/2015. Kutokana n...
MASHABIKI Sunderland wamecharuka na kutaka kumvaa kocha wao Gus Poyet baada ya timu yao kushindiliwa kwa mabao 4-0 na Aston Villa kat...
LILE sakata la mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu la kuitumikia klabu hiyo kwenye mechi za ligi kuu wiki iliyopita dhidi ya Prisons na...
VIUNGO wa Yanga Mnyarwanda, Haruna Niyonzima na Mrisho Ngassa wamesema, mikataba yao imekwisha na wanawaaga kabisa mashabiki wao. Mri...
GOOOOOOOO Dk 90+3 Okwi anaifungia Simba umbali wa mita 25 baada ya kugeuka na kupiga shuti kali linaloingia kwenye engo la lango. MWA...
KUFUATIA kauli ya Yanga ya kuwataka mashabiki wa klabu tofauti za hapa nchini kujitokeza na kuwapa sapoti kwenye mchezo wao wa kesho Jum...
YANGA kesho Jumapili inacheza na FC Platinum ya Zimbabwe mechi ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini kocha wa timu hiyo...
ALIYEKUWA kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh, amefariki dunia asubuhi ya leo. Marsh alikuwa amelazwa katika...
TIMU ya Coastal Union imefanikiwa kuifunga Mgambo JKT kwa 1-0, katika mchezo wa liku Tanzania bar uliofanyika uwanja wa Mkwakwani jijin...
MCHEZO wa ligi kuu Tanzaia bara uliokuwa unaendelea kati ya Stand United na Kagera Sugar umevunjika katika dakika ya 80' kutokana na ...
TIMU ya AZAM FC imeshindwa kufanikiwa kufuzu raundi ya pili katika michuano ya klabu bingwa africa baada ya kufungwa mabao 3-0; Hii inat...
Baada ya kupoteza mchezo kwa kufungwa goli 1-0 kutoka kwa Stand United ya Shinyanga, Simba imeamka toka usingizini na kuinyeshea mvua ya ...