TIMU ya AZAM FC imeshindwa kufanikiwa kufuzu raundi ya pili katika michuano ya klabu bingwa africa baada ya kufungwa mabao 3-0; Hii inatokana na AZAM FC kushinda mabao 2-0 mjini DAR ES SALAAM, wiki mbili zilizo pita.
Mabao ya El-Mereikh yamefungwa dakika ya 16',84' na 90+' , kwa ujumla mchezo ulikuwa purukushani za hapa na pale lakini mpaka mwisho matokeo yakabaki kama yalivyo.
Mabao ya El-Mereikh yamefungwa dakika ya 16',84' na 90+' , kwa ujumla mchezo ulikuwa purukushani za hapa na pale lakini mpaka mwisho matokeo yakabaki kama yalivyo.

0 comments:
Post a Comment