MVUA YAVUNJA MECHI KATI YA STAND UNITED NA KAGERA SUGAR YAVUNJIKA DAKIKA YA 80'

2/28/2015 11:44:00 pm
MCHEZO wa ligi kuu Tanzaia bara uliokuwa unaendelea kati ya Stand United na Kagera Sugar umevunjika katika dakika ya 80' kutokana na mvua kubwa iliyonyesha, mchezo huu unategemewa kuendelea hapo kesho kwa kumalizia dakika zilizobaki wakati huohuo Stand United ilikuwa inaongoza kwa bao 1-0.



0 comments:

Post a Comment