TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kuifunga timu ya Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-0, katika mchezo wa kwanza uliofanyika Dar es salaam leo tarehe 15/3/2015.
Kutokana na matokeo hayo Platinum wanatakiwa kushinda zaidi ya magoli 4-0 ili kufuzu raundi inayofuata,
ambapo mshindi wa hapo atakutana na mshindi kati ya
| Étoile du Sahel | N |

0 comments:
Post a Comment