Makamu Rais wa Simba SC Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela katika mtani jemebe Arusha.
|
Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Kaburu(kushoto) na Mjumbe Kamati Kuu ya timu ya Yanga,Mohamed Binda,wakicheza danadana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha jana. Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi.

0 comments:
Post a Comment