![]() |
| Nasri Man. City. |
City walifanikiwa kushinda taji la ligi msimu uliopita pamoja na kuwa nyuma ya Arsenal na Liverpool kwa kipindi kirefu wakati wa kampeni hizo na Nasri anaamini kuwa uzoefu huo unawapa nafasi katiika mbio za ubingwa msimu huu.
Akihojiwa Nasri amesema kila mmoja anakuwa imara na kadri umri wao unavyozidi kusonga mbele ndio uzoefu nao unaongezeka. Nasri aliendelea kudai kuwa wanajifunza mambo mengi katika timu hiyo kwani wameshapitia mambo mengi tofauti hivyo wanajua jinsi gani ya kukabiliana na changamoto.

0 comments:
Post a Comment