SIMBA TENA, YALALA 1-0 KWA MTIBWA SUGAR MAPINDUZI CUP 2015.

1/02/2015 12:06:00 am
Mtibwa Sugar.

Timu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kuibuka na ushindui wa 1-0, dhidi ya Simba ya Dar es Salaam katika mashidano ya Mapinduzi Cup yanayoendele Zanzibar.

Bao pekee la mtibwa lilipatikana kipindi ch kwanza dakika ya 44 kupitia kwa Henry Joseph kufuatia walinzi wa Simba kushindwa kuokoa mpira wa kona.

Simba SC


0 comments:

Post a Comment