| Haroub Cannavaro akishangilia Goli, baada ya kuifungia Yanga dhidi ya Coastal Union |
| Golikipa wa Coastal Union akiokoa baadhi ya hatari katika lango lake dhidi ya Yanga SC. |
Kutokana na matokeo haya sasa Yanga imefikisha pointi 22 ikicheza michezo 12, moja zaidi ya mabingwa watetezi AZAM FC wenye pointi 21 katika michezo 11.
Goli la Yanga limefungwa na Haroub Cannavaro katika dakika ya 12 kwa mpira wa kichwa kutokana na mpira wa kurushwa kutoka kwa Mbuyu Twite.
0 comments:
Post a Comment