EMMANUEL OKWI AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE NAKALEGA.

12/22/2014 12:08:00 pm


Mshambliaji wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Uganda,Emmanuel Okwi mwishoni mwa juma hili alifunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Nakalega Florence.




Ndoa hiyo ilifungwa mwishoni mwa juma hili nchini Uganda na kuhudhuliwa na ndugu jamaa na marafiki.

0 comments:

Post a Comment