SIMBA YAPOTEZA KWA KAGERA SUGAR 1-0:

12/26/2014 06:53:00 pm
Kikosi cha Simba SC.
Timu ya Simba SC ya Dar es Salaam imepoteza mchezo wake wa kwanza katika uwanja wa Taifa kutoka wa Kagera Sugar ya Kagera. 

Goli pekee la Kagera Sugar limefungwa na Atupere Green katika kipindi cha kwanza kutokana na makosa yaliyofanywa na kipa wa simba Ivo Mapunda kushindwa kudaka mpira wa kurusha na kunga kirahisi.
Kikosi cha Kager Sugar.

Katika mchezo huo Simba ilweza kutumia wachezaji wake wote wapya lakini haikufanikiwa kupata nafasi ya kusawazisha goli.

Kutokana na mchezo huu Simba watahitaji sana kubadilika katika uchezaji wao ili kuendana na kasi ya ligi la sivyo wataweza kuandamwa na dhahama.

0 comments:

Post a Comment