Kiungo mpya wa Simba, Danny Sserunkuma amerejea kwenye fomu na kuharibu shughuli za watu.
Sserunkuma raia wa Uganda amepiga bao bili wakati Simba ikiishinda Taifa Jang'ombe kwa mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Katika kipindi cha kwanza Simba ilichezesha vijana, halafu kipindi cha pili 'ikatupia 'mziki' mnene ambao uliwashinda Jang'ombe na kujikuta wakiruhusu mabao hayo matatu.
Bao moja la Simba lilifungwa na beki wa kushoto, Mohammed Hussein 'Tshabalala'.

0 comments:
Post a Comment