Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa mpira wa kichwa akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza ikiwa kinara wa kundi lake baada ya kushinda mechi zake zote tatu za Kundi A, 4-0 mara mbili dhidi ya Taifa Jang’ombe na Polisi na leo 1-0.


0 comments:
Post a Comment