SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KWA KISHINDO CHA 4-0 , KWA TAIFA JANG'OMBE YA ZANZIBER

1/08/2015 12:46:00 am
Wachezaji wa Simba .
TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutinga nusu fainali kwa kishindo baada ya kuifunga mabao 4-0 timu ya Taifa ya Jang'ombe katika mchezo uliopigwa usiku leo jumatano.


Kutokana na matokeo hayo Simba SC itapambana na mshindi kati ya KCC ya Uganda na ya Polisi mchezo utakao fanyika tarehe 8/1/2015 mahjira ya alasiri.

0 comments:

Post a Comment