VPL, YANGA SC YAILAZA POLISI MOROGORO BAO 1:0, DANY MRWANDA TENA.

1/25/2015 12:37:00 am
TIMU ya Yanga Sc ya Dar es Salaam imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1:0 dhidi ya timu ya Polisi Morogoro katika uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Goli pekee katika mchezo huo limefungwa na Danny Mrwanda baada kumalizia kazi Simon Msuva, kutokana na matokeo hayo Yanga imefikisha pointi 18 nyuma ya Azam FC.

0 comments:

Post a Comment