AFCON 2015: IVORY COST,MALI,CAMEROON NA GUINEA NGOMA DROO.

1/25/2015 12:24:00 am

AFCON 2015, hali katika kundi D linalo jumuisha timu za taifa za Mali, Ivory Cost, Cameroon na Guinea yamekua magumu baada ya timu zote kuwa na matokeo yanayofanana, kutokana na hali hiyo matokeo ya mechi za mwisho ndizo zitakazo amua timu za kusonga mbele katika raundi inayofuata.

0 comments:

Post a Comment