AFCON: MATUMAINI YA SOUTH AFRICA YAZIDI KUPOTEA

1/24/2015 12:38:00 am

MATUMAINI ya timu ya South Africa katika kusonga mbele yazidi kupotea baada ya kulazimisha droo ya goli 1:1 na Senegal, ambapo mpaka sasa ina pointi moja na ikiburuza mkia.

Kwa upande mwingine Algeria imepoteza mchezo dhidi ya Ghana baada ya kukubali kipigo cha goli 1:0 katika dakika za nyongeza. Mpaka sasa timu zote zina nafasi ya kwenda raundi inayofuata endapo itashinda mchezo wa mwisho.

0 comments:

Post a Comment