JKT RUVU HOI KWA RUVU SHOOTING WAPIGWA BAO 1-0 CHAMANZI.

12/27/2014 11:55:00 pm
JKT RUVU
 Timu ya JKT Ruvu imepoteza mchezo wake mbele ya ndugu zao wa Ruvu Shooting ya Pwani kwa bao 1-0 katika wa raundi ya nane uliofanyika uwanja wa Chamanzi kuanzia majira ya saa moja usiku.
Bao hilo pekee lilipatikana kwa njia ya penati katika kipindi cha kwanza. Hata hivyo iliyolalamikiwa na 
RUVU SHOOTING

0 comments:

Post a Comment