REAL MADRID BINGWA CLUB BINGWA DUNIA, YAICHAPA SAN LORENZO 2-0:

12/21/2014 01:44:00 pm
Kikosi cha Real Madrid kikifurahia kutwaa ubingwa wa vilabu bingwa dunia 2014.
Real Madrid, imefanikiwa kutwaa ubingwa wa vilabu bingwa dunia baada ya kuifunga San Lorenzo timu kutoka Argentina kwa mabao 2-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jumamosi usiku wa tarehe 20/12/2014 huko Morroco.

Real Madrid captain, Iker Casillas - akipokea kombe kutoka kwa Prince Prince Moulay Hassan wa Morocco . 



Mfungaji wa goli la pili Gareth Bale akibusu kombe walilo twaa.

Cristiano Ronaldo akishika kombe la vilabu bingwa dunia baada ya kutwaa usiku wa jumamosi tarehe 20 /12/2014 huko Morroco.

VIKOSI VYA TIMU ZOTE MBILI:

MATCH STATISTICS:


0 comments:

Post a Comment