TIMU ya soka ya Simba SC. imefanikiwa kutwaa ubingwa wa mapinduzi cup katika mchezo wa fainali uliofanyika leo 13/1/2015 kuanzia saa mbili na robo(20:15) wakipambana na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro.

Simba wameweza kuwafunga Mtibwa kwa njia ya penati baada ya kutopatikana magoli katika dakika 90, Sima iliweza kuifunga Mtibwa penati 4:3
Mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar ambapo mpaka dakika 90 ilikua 0-0 ila walivyokwenda kwenye Matuta mzigo ukawaangukia Simba

.jpg)
0 comments:
Post a Comment